
Yule mwana dada mwenye vimbwanga sana mtandaoni ambaye ni msanii wa Filamu na amehamia kwenye muziki wa Bongo Fleva Giggy Money ameweka wazi kila kitu juu ya maisha yake na sanaa.
Akiongea na Global TV online Giggy ameweka wazi kila kitu kuhusu yeye na kuhusika kwake katika video za Nay, mahusiano yake na Gadnah na mengine mengi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment