May 19, 2016

13261070_1578220049138060_345601967_n


 

Mwanamuziki toka nchini Tanzania Alikiba ameingia rasmi kwenye familia ya Sony Music.
Staa huyo leo amesaini mkataba na record label hiyo kubwa duniani jijini Johannesburg, Afrika Kusini. 
 “Ni step moja wapo watu wangependa kuniona na leo ndio imefikia,” alisema Kiba mbele ya waandishi wa habari waliokuwa wamehudhuria kwenye utiaji saini katika deal hilo.”
“Niliwaambia nitafika sehemu mtaridhika na ninachokifanya. Naona hii support imetoka kwa mashabiki, nawapenda, mtanisamehe kama ntakuwa nimewakosea, kiukweli sote ni binadamu,” aliongeza.
“Ilikuwa kati ya ndoto zangu, nitafanya party kwaajili yao, kuwaona, kufurahia pamoja nao wanaopenda maendeleo yangu. Naombeni niwashukuru sana, nina imani kwamba ni malengo mazuri ninayoyalenga, na in the future ntaendelea kufanya kitu kama nilichofanya leo, nina imani mna furaha kama niliyonayo leo,” alisisitiza.
Kwenye hafla hiyo video nne za nyimbo zake zilichezwa zikiwemo Mwana, Chekecha Cheketua, Nagharamia, Lupela, Unconditionally Bae na Aje.

Related Posts:

  • MIILI 40 YAOPOLEWA BAHARINI    Sala za kuwaombea waliokuwa wasafiri katika ndege hiyo zinaendelea Kufuatia kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Asia ndege namba QZ8501At ,miili arobaini imeopolewa kutoka … Read More
  • NEW VIDEO/ AKADUMBA - NAY WA MITEGO Ma bibi na ma bwana, hapa itifaki imezingatiwa, Mwanamuziki toka Manzese anayefanya poa sana nyimbo zake, hapa sasa anakupa fursa ya kutazama video yake mpya ya wimbo unaofanya poa sana kwa sasa wa AKADUMBA.   &… Read More
  • MTOTO WA MIAKA MINNE ATEKWA Kamanda wa polisi mkoani Mwanza Valentino Mlowola Nchini Tanzania katika Kijiji cha Ndami, tarafa ya Mwamashimba wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza watu wasiofahamika wamevunja ny… Read More
  • MVUA KUBWA YANYESHA NA KULETA ATHARI MOROGORO   Gari ya TANAPA ilivyozama leo hii baada ya mvua kubwa kunyesha mkoani Morogoro  Leo hii mkoani Morogoro mvua kubwa ilinyesha na kuleta athari ya uharibifu wa mali mbalimbali,  Mvua hiyo iliyonyesha kwa … Read More
  • UMEIPATA HII?? NI KUHUSU MWANAMKE ANAYELAZA WAUME ZA WATU KWENYE PUB Hekaheka iliyosikika kwenye show ya Leo Tena ya Clouds FM, imetokea Mbezi, Dar es Salaam. Wanawake wawili wamelalamikia kitendo cha dada mmoja ambaye amefungua pub ya kuuza vinywaji, lakini wanawake hao wamese… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE