Rais wa Jamahuri
ya Muungano wa Tanzania leo amefanya kikao na mabalozi kutoka mataifa
mbalimbali lengo kubwa likiwa ni kuhusu uwekezaji nchini na waliafikiana
kujenga kiwanda cha mbolea Mkoa wa Lindi. Mbali na hilo Rais Magufuli pia alifanyaka kikao na Katibu Mtendaji
wa SADC na kuzungumzia masuala ya Ulinzi na Usalama katika Jumuiya hiyo. Isome hapa taarifa yote.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment