Baada ya kukaa kimya kwa muda, hatimaye mwanamuziki mkongwe Marlaw Malima ameachia wimbo mpya kabisa akiwa na Producer wa kizungui Fundi Samweli. Wimbo unaitwa Pamoja, unadhani Marlaw kazungumzia kuhusu nini humo??
MUME WA FLORA MBASHA ALIA NA MCHUNGAJI GWAJIMA
Na Makongoro Going’
MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa
miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo …Read More
MUNTALA TALA VENCHA, HAPPY BIRTHDAY 2 U MY BROTHER
Muntala Tala v, tala talent, tala presdent, Tala Vencha Rais wa Msasani, ni mmoja ya wadau wa media niliotokea kuwakubali sana , kutokana na tabia yake ya kujali kila aina ya mtu. Jamaa tumekuwa tukishauliana …Read More
RAY C AMTAHADHARISHA HADIJA KOPA
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa
ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku
akimtaka Khadija Kopa ajiandae.
Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, R…Read More
NEW AUDIO/ BIO ft MR BLUE - NISEME
Kama unaikumbuka analamika, Bibi, kaniulizia na baadhi ngoma toka kwakE. Anaitwa BIO hapa kamshirikisha MR:BLUE mzigo unaitwa Niseme.
SKILIZA KISHA WAWEZA KU SHARE
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment