
Mbunge
wa zamani wa Kigoma kusini (NCCR-MAGEUZI), David Kafulila ameshindwa
kwenye kesi yake iliyokuwa ikisikilizwa mahakama kuu kanda ya Tabora
kuhusu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa CCM, Hasna Mwilima
Kesi hii ilifunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Tabora na kuendeshwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.
Katika
kesi hiyo upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof.
Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera, Ili hali upande wa
mlalamikiwa (Husna) uliongozwa na wakili Kenedy Fungamtama pamoja na
mawakili wa serikali upande wa mwanasheria mkuu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment