
Moja kati ya mziki uliojibebea umaarufu mkubwa sana hapa Tanzania. Mziki huu umetoka katika mchiriku. Tumekuwa tukisikia audio tu, Muimbaji wa Singeli toka mkoani Morogoro anaitwa Dogo Ibra ameachia video yake hii ya Kua uyaone. Producer wa wimbo huu anaitwa DJ Malota
0 MAONI YAKO:
Post a Comment