
Mwanamuziki Diamond Platnumz, amevunja nyumba yao aliyozaliwa na kukulia na kujenga nyumba nyingine ya kisasa . Ameandika maneno haya katika AC yake ya Facebook
Hapa
ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilipozaliwa kulelewa na
kujifunzia Muziki hadi leo kufikia hapa.... napaHeshimu, Napapenda,
napathamini na Daima hata niende wapi lazima nirudi maana nikiwa hapa
nasikia faraja na amani ya moyo... Mwanzo palikuwa hivi #HomeSweetHome #Before
Muonekano wa sasa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment