May 14, 2016


Jumapili ya Leo Mei 15 ya 2016, Ubalozini.blogspot.com, inaungana na mkali wa muziki wa bongo fleva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Dayna Nyange anayetamba na wimbo wake wa sasa wa Angejua leo hii ametimiza umri wa miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake.



Ubalozini.blogspot.com inakutakia maisha marefu yenye kheri na baraka tele mrembo wetu wa nguvu.

                  

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE