Nay Wamitego amewajibu watu wanaomchukulia poa.Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, Nay wa
Mitego amewapiga dongo wanaomchukia kwa kuwaambia hafanyi muziki kwa
ajili ya tuzo.“Mimi siku zote sifanyi muziki ili nipate tuzo au nishinde tuzo hata
mashabiki zangu naomba mtambue kuwa mimi sifanyi muziki kwa ajili ya
tuzo,” alisema.
Saka Hela ni moja kati ya nyimbo za rapper huyo zinazofanya vizuri kwenye TV na Radio kwa sasa japo iliachiwa kwa kushtukiza
0 MAONI YAKO:
Post a Comment