Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sharraf amezungumzia majukumu yake kwenye label ya WCB.
Akiongea na mtangazaji Divine Kweka kwenye kipindi cha The Premier cha Kings FM ya Njombe, Sallam alisema yeye ni meneja wa Diamond upande wa kimataifa na pia ni miongoni mwa wakurugenzi wanne wa bodi ya WCB.
Aliwataja wengine kuwa ni Diamond, Babutale na Said Fella. Pia kwenye mahojiano hayo Sallam alizungumzia iwapo ni kweli WCB tayari wamemchukua Rich Mavoko.
Sikiliza mahojiano hapo chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment