May 31, 2016

Mwanamuziki kutoka katika kundi la WEUSI Kampuni, G. Nako, amekuletea wimbo wake mpya unaoitwa Alosto. Katika wimbo huo G. Nako amewashirikisha wasanii Niki wa Pili pamoja na Chin Bees na wimbo huo umefanyika katika studio za Switch Records chini ya Producer Luffa 


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE