May 24, 2016

ji2Baadhi ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

ji3Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe wakifuatilia ibada ya kutoa heshima za mwisho ya kuuaga mwili huo.
ji4Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene akiwakisha salamu za rambirambi kutoka Serikalini wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee, leo jijini Dar es salaam.
ji5Mkuu wa mkoa wa Dar es salaa Paul Makonda akiwasilisha salamu za rambirambi kutoka ofisi ya Mkuu mkoa wa Dar es salaam wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee, leo jijini Dar es salaam
ji6Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
ji7Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
ji8Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
ji9Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya heshima za mwisho kwa  aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
ji1
(PICHA NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE