Jeshi
la Polisi jijini Mwanza limemuuwa mtu mmoja anaesadikiwa kuwa jambazi
kati ya Watatu katika mtaa wa ilemela majira ya saa nne usiku huu.
Watatu hao walikuwa na bunduki tatu aina ya SMG,wawili walifanikiwa
kutokomea maeneo ya ziwani baada ya majibizano ya risasi na askari wa
Doria kwa takribani dakika 45.
Chanzo:Habari Star TV
0 MAONI YAKO:
Post a Comment