May 09, 2016


barnabas
Msanii wa muziki, mwandishi na mtayarishaji wa muziki, Barnaba Classic ameifunga studio yake ya ‘High Table Sound’ kwa ajili ya matengenezo.
Akizungumza na Bongo5, Barnaba amesema aliamua kuifunga studio hiyo kwa muda ili kufanya ukarabati ambao amedai utaibua ufanisi wa kazi.
“Kweli studio imefungwa kwa wiki mbili hadi tatu kwa ajili ya matengenezo kidogo, naipanua zaidi, kuna baadhi ya vitu ambavyo naongeza, kwa hiyo nadhani baada ya wiki moja itaifungua tena,” alisema Barnaba.
Barnaba amesema ukarabati ya studio hiyo utaibua ubora wa kazi ambazo zinazalishwa katika studio hiyo.

Related Posts:

  • Luka Modric Anyakua Mchezaji Bora, Ronaldo Mshambuliaji Bora KIUNGO wa Klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya akiwafunika Mo Salah wa Liverpool na Cristiano Ronaldo wa Juventus. DATA 17/18 … Read More
  • KUTOKA IKULU:Taarifa kwa vyombo vya Habari   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria sambamba na kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya rasilim… Read More
  • Nipoze Moyo : Bio x Issa E Official Video   Kimya kingi, kina mshindo muu hakika wahenga walisema. Ndicho walichokifanya wanamuziki wa muda kidogo kwenye Gmae. Bio na Issa E, kama utakumbuka nyimbo kama bibi, kaniulizia na Analalamika ndiyo nyimbo zao zili… Read More
  • Kiswahili kuwa Lugha rasmi ya Afrika Kiongozi wa chama cha watetezi wa Uhuru wa kiuchumi (EFF) cha Afrika Kusini, Julius Malema, ametoa wito wa kupitishwa kwa lugha moja itakayotumika barani Afrika, huku akipendekeza lugha ya Kiswahili kuwa lugha hiyo. Ma… Read More
  • Sakata la Makontena ya Makonda,Musiba amkaanga   Lile sakata la makontena ya Bandarini yanayohusishwa na mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Poul Makonda, hatimaye linazidi kuchukua sura mpya baada ya leo Mkurugenzi wa CZI Cyprian Musiba kuifunguka kila kitu na kumuw… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE