June 10, 2016

                   

Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililozinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
                     

Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.
                 
Mtendaji Mkuu wa Azam FCSaad Kawemba  akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE