Zile picha zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha Diamond na P.Square zilizokuwa zikizua maswali mengi, sasa ukweli wake umejulikana. Diamond Platnum toka nchini Tanzania anatarajia kuachia wimbo wake mpya hivi punde aliofanya na wakali hao toka nchini Nigeria. Diamond ameandika kwenye ukurasa wake facebook na mtandao huu ukaunyaka ujumbe ule na kukuletea hapo ulipo.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment