Baada ya Justin Bieber kufanya remix ya wimbo wake wa “One Dance” na kupata collabo na rapa Gucci Mane, sasa Drake naye katoa wimbo mpya “4 PM in Calabasas,” ikiwa ni muendelezo wa “4 AM in Dallas” na “5 AM in Toronto.”
Wimbo umehamasishwa na rekodi ya Puff Daddy na Ma$e’s “Can’t Nobody Hold Me Down,” ).
Isikilize “4 PM in Calabasas” Hapa
Wimbo umehamasishwa na rekodi ya Puff Daddy na Ma$e’s “Can’t Nobody Hold Me Down,” ).
Isikilize “4 PM in Calabasas” Hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment