Christian Bella akiwapagawisha mashabiki wake. Christian Bella na Linnah wakiimba Wimbo Hello Christian Bella akiendelea kutoa show ya maana Mashabiki nao hakuweza kuvumilia. Mrembo Alice kutoka T.H.T Prince Dully Sykes akifanya yake. Gadner G. Habash ndiye muongozaji (MC) wa shughuli nzima. Zao la bongoflava kutoka jijini Mwanza Baraka Da Prince akikamua kwa hisia. Mkali wa hitsingle mahaba niue ni Maua Sama hapa alikua akiimba wimbo wake mpya "Sisikii".
0 MAONI YAKO:
Post a Comment