Msanii Linnah Sanga amesema kwa sasa hana mpango wa kuolewa anachofikiria ni kuzaa tu.
‘’Ninachofikiria kwa sasa ni kuwa na mtoto, kila nikifikiria na kuona matukio yanayotokea kwenye ndoa nahisi kuchanganyikiwa, ila mwisho wa siku najiona nakuwa mkubwa, mama yangu anahitaji mjukuu na afikiria ndoa kwasabbu heshima ya mwanamke ni ndoa, sio kwamba hawapo wanaotaka kunioa wapo lakini wanaonekana sio waoaji yaani anakudanganya kwa ndoa atakuchumbia lakini mwisho wa siku anajisahau ndo basi, bora ionekana tu alizaa, nikifika miaka 30 hapo ndio nitakuwa tayari kuolewa kuwa mke wa mtu’’ Alisema Linnah.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment