June 22, 2016

Hivi karibuni tuliandika ripoti ya redio na TV za Tanzania zenye watazamaji/wasikilizaji wengi zaidi kwa mujibu wa kampeni ya utafiti ya Geo Poll.
Leo ninakuletea mahojiano na wawakilishi wa Geo Poll Tanzania, Athman Sungura (Business Development Executive) na Quilnus Matembo (Business Development Manager) ambao wanazungumza kwa undani jinsi wanavyopata takwimu hizo.

                           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE