
Mkali wa hit song kibao kama Bado niponipo sana, Hamis Mwnjuma Mwana FA amefunga ndo na mchumba wake aitwayeHelga na kuuaga ulimwengu wa ukapera na kuingia katika maisha mapya maisha ya ndoa. Ubalozini.blogspot.com tunakutakia maisha mema katika ndoa yako binamu yetu

0 MAONI YAKO:
Post a Comment