June 29, 2016

Hofu ya Bill Gates baada ya Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya
Baada ya raia wa Uingereza kuchukua uamuzi wa Uingereza baadhi ya watu mbali mbali duniani waliyatoa malalamiko yao kufuatia uamuzi huyo.
Tajiri wakwaza ulimwenguni mwenye kitata cha dolla za kimarekani bilioni 69,2 raia wa Marekani Bill Gates mwenye umri wa miaka 60 nae azungumza ya kwamba hakutarajia kama raia wa Uingereza wanaweza kuchukua uamuzi kujiondoa katika Umoja wa Ulaya maana Uingereza ni mshirika mzuri wa kibiashara.
Hayo aliafahamisha katika mahojiano na waandishi habari mjini Paris nchini Ufaransa.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE