TANZIA: Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Biharamulo Magharibi kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefariki usiku wa kumkia leo. Dk. Anthony Gervase Mbassa (CHADEMA) amefariki usiku wa kuamkia leo Jumapili Juni 26, 2016. Endelea kuwa nasi tutakujuza chanzo cha kifo chake na taratibu nyingine.
ACT Wazalendo kuanza kampeni tarehe hii
Chama cha ACT
Wazalendo kupitia kwa Afisa Habari wake, Bw. Abdallah Khamis mapema leo
kimetoa taarifa rasmi juu ya tarehe ya kuanza kampeni katika jimbo la
Dimani Visiwani Zanzibar.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ilieleza:…Read More
Breaking News:Producer Emma The Boy apata ajali mbaya
Producer maarufu wa THT,
Emmanuel Maungu ‘Emma The Boy’ amepata ajali mbaya ya gari hivi punde
maeneo ya Kabuku karibu na Segera, Tanga wakati akitokea Dar es Salaam
kuelekea nyumbani kwao, mkoani Tanga.
Imeel…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment