Mkali huyo wa hip hop ameyazungumzia maisha yake kipindi anafundisha shule ya sekondari kwao mkoani Tanga.
Akizungumza kwenye ‘Umeinyaka’ ya kipindi cha Ladha 3600 cha EFM, Mkatoliki amesema, “nilikuwa na wakati mgumu sana hasa kwa wanafunzi niliokuwa nawafundisha, wengine ilifikia hatua ya kuniandikia mistari katika baadhi ya masomo niliyokuwa nafundisha ikiwemo Mathematics na Geography.”
“Mimi kuwa teacher haikuwa hobby yangu sema maisha ndio yalinibidi nikimbilie huko.”
0 MAONI YAKO:
Post a Comment