Watu 50 sasa wanajulikana kuuawa kwa
kupigwa risasi wakati wa shambulizi lililotokea kwenye baa moja katika
jimbo la Florida, na kuwa moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika
historia ya Marekani.
Watu wengine 50 wako hospitalini. Vyombo vya
habari vimemtambua mwanamme ambaye alitekeleza shambulizi hilo katika
mji wa Orlando kuwa raia wa Marekani, Omar Mateen.Aliwashika mateka karibu watu 30 kabla ya polisi kumpiga risasi na kumuua.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment