Ikiwa tupo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadfhani,Kwa waislam tukumbuke kuwa mwezi huu ndiyo mwezi ambao kitabu chetu kitakatifu cha Quran kiliteremshwa kikiwa na juzuu 30.Hapa basi tumekuwekea usomaji wa Quran tukufu
Ruge Mutahaba azitaja #FursaKumi
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba
leo amezitaja #FursaKumi kupitia kipindi cha Power Breakfast na
Clouds360 cha Clouds Tv.
“Kwanza anatakiwa
kusikiliza #FursaKumi, lakini pili laz…Read More
20616Call for Artist
KARIBU MUSIC FESTIVAL 4th (Fri) – 6th (Sun) NOVEMBER 2016, BAGAMOYO TANZANIA
Karibu Cu…Read More
Benki ya NMB Yazindua Promosheni ya Pata Patia
Zaidi ya shilling milioni 300 kushindaniwa
Benki ya NMB imezindua mchezo wa bahati nasibu kwa wateja wake ambapo
watakuwa na nafasi ya kujishindia kuanzia shilingi 100,000/- hadi
shilingi milioni tatu…Read More
Mwanamuziki Mkongwe Kassim Kapili Afariki Dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki dansi Kassim Mapili akicharaza nyuzi za Gitaa lake chini ya Kundi zima la Mjomba Band.
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki dansi Kassim Mapili
amefariki dunia akiwa chumbani kwake, …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment