June 13, 2016


Baad ya kufanya poa sana na wimbo wake wa Deka, mwanamuziki toka mkoani Morogoro Braiquiz amekuja tena na wimbo wak empya unaoitwa Nyumbani. Brai ni mwanamuziki anayetokea mkoani Morogoro na wimbo wake wa Nyumbani unazungumzia zaidi sifa za mkoa wa Morogoro. Wimbo umefanywa na Producer Muchmore $ D' Prince katika studio za Pure Records zinazomilikiwa na Producer Dizy Mchizi

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE