Msanii mdogo mwenye mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mchache
amekanusha habari zinazosambazwa na watu wasiompenda kwamba amekamatwa
na poliisi. Akitolea maelezo suala hilo kutoka kwenye nyumba yake
anayomiliki maeneo ya Sinza alidai kwamba hajakamatwa na mtu yeyote yule
ila alikuwa akishoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Jirani
nitakuvunjia simu yako" ambapo director alishauri simu ivunjwe ili
kuleta uhalisia ."Unajua director alikuwa too authentic,hata sisi
ilibidi tuvunje simu ya jirani"
WALIMU WA MASOMO YA HISABATI NA KIINGEREZA DODOMA WANOLEWA
-
Na.Francisca Mselemu - Habari - DODOMA RS
Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mkoa wa
Dodoma Mwalimu Vincent B. Kayombo leo M...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment