July 07, 2016

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly 

Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini kwenye hii video.


                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE