July 07, 2016

 

 Kwa wale wakongwe wenzangu kwenye game, hawatakaa kamwe wamsahau mkali huyu wa tungo na uwezo wa kuichezea sauti yake jinsi atakavyo. Anaitwa Nuruelly aliwahi kutamba na nyimbo za Chondechone, Baba, Mng'alo wa silva nk. Alituteka sana kipindi kile, safari hii amekuja na miundiko mingine kabisa,. Sikiliza wimbo wak ehuu aliomshirikisha Chriss Sheggy lakini hapa wameimba mziki wa Dansi.

                         

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE