July 30, 2016


Mwanamuziki Dayna Nyange anayetamba na wimbo wake mpya wa Komela aliomshirikisha Bill Nass, anakupa fursa ya kudownload beat ya wimbo huo unaofanya poa sana kwa sasa. Dayna amekupa uhuru pia wa kufanyia Cover wimbo huo

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE