
Baada
ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe
Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye ni afisa habari wa Yanga kuwa
msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya mawasiliano
Imetoa ufafanuzi juu ya habari hizo
Barua iliyoandikwa kutoka Ikulu imesema ‘kuna taarifa zimesambazwa zikisema kuwa Rais Magufuli
amemthibitisha Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu huku
msaidizi wake akiwa ni aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro,
taarifa hizo sio za kweli na wananchi wazipuuze'

0 MAONI YAKO:
Post a Comment