July 16, 2016

 

Kutoka katika Lebo ya Mkubwa na wanawe, hatimaye Mwanamuziki MC Koba ameachia rasmi video ya wimbo wake wa Zawadi. 

Zawadi ni wimbo ulioimbwa katika aina ya muziki wa mchiriku ambayo watu wengu huamini kwamba ndiyo staili hali ya muziki wa kitanzania.

                          

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE