July 11, 2016

Mashirika yasiokuwa ya kiserikali yatolea wito Afrika kutokujitoa ICC

Mashirika yasiokuwa ya kiserikali yatolea wito nchi za Afrika kutojitoa katika mahakama ya kimataifa ya The Hague

Mkutano wa mataarisho ya kongamano la Umoja wa Afrika ambalo linatarajiwa kufanyika ifikapo Julai 16 nchini Rwanda imeanza kufanyika mjini Kigali.

Kongomano hilo la Umoja wa Afrika litafanyika Julai 16 hadi Julai 18 nchini Rwanda.

Katika mkutano wa mataarisho kunataraiwa kujadili suala la nchi za Afrika kuondoka katika ushirikiano na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Viongozi wengi wa Afrika wanaituhumu mahakama hiyo kulenga viongozi wa Afrika pekee.

Mashirika mengi yasiokuwa ya kiserikali yamefahamisha kuwa itakuwa kosa kwa Afrika kujiondoa katika mahakama hiyo kwa kuwa mahakama hiyo ni muhimu kwa raia.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE