Ethiopia yafunga mitandao yote ya kijamii baada ya maswali ya mtihani wa mwisho wa mwaka kusambaa mitandaoni mwezi uliopita.
Jambo hilo lilipelekea kuwa na kashfa ya kitaifa na hata kufutwa kwa usajili wa baadhi ya wanafunzi.
Mitandao ya Facebook,Twitter na Viber imefungwa tangu Jumamosi asubuhi.
Kwa
mujibu was msemaji wa serikali,ni kwamba mitandao ya kijamii ni tatizo
kwa maisha ya mwanafunzi na hivyo basi Ethiopia imeamua kuzifunga kwa
muda mfupi .
Mitandao hiyo itafungwa hadi siku ya Jumatano wiki hii.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment