July 12, 2016


Baad aya kuwaweka mashabiki wake kwa kipindi kidogo wakiwa na hamu ya kuona na kuskia nini kinakuja kutoka kwak. Mwanamuziki Diamond Platnumz Dangote a. k, a Simba ameachia rasmi wimbo wake wa Kidogo aliowashirikisha kundi la P. Square kutoka nchini Nigeria.

                   


Download Audio hapa chini

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE