July 06, 2016

Msanii 20% akiwa na Man Water baada ya kusaini mkataba
 
Msanii 20% ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kali amefunguka na kusema kuwa amerudi rasmi tena kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva kuja kufanya kazi na kuwapa burudani pamoja na ujumbe wa maana mashabiki zake ambao wamekuwa wahihitaji
wahihitaji arudi kwenye muziki.
Juzi 20% aliweza kusaini mkataba chini la Label ya Kombinenga inayomilikiwa na mtayarishaji wa muziki Man Water kutoka katika studio za Combination Sound, 20% aliweza kusaini mkataba wa miaka mitano kufanya kazi chini ya Label hiyo, ambayo itakuwa ikimsimamia katika kazi zake.
"Kwa upande wake 20% alisema kuwa sasa amerudi rasmi kuja kuwachinja tena na kusema amerudisha sauti ya gharama kwa jamii na mashabiki wake, sauti yenye kuburudisha, sauti yenye kufunza na kutoa burudani kwa watu wake" alisema 20%
Kwa upande wake Man Water amedai kuwa sasa 20% amerudi rasmi mwaka 2016 chini ya Kombinenga na kuwataka mashabiki wake mkao wa kula kupokea kazi nzuri zenye ujumbe mzito na wakusisimua kutoka kwa msani huyo.
"Twenty Percent is back. ...2016
Kaa mkao wakula ngoma zenye jumbe nzito na za kusisimua...kila kitu kiko sawa sasa...new page" aliandika Man Water

Related Posts:

  • TID AHUSISHWA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA ALI KIBA Habari ambazo zimesambaa mtaani hasa  Jijini Dar es salaam, zinamhusu msanii wa muziki wa kizazi Ali Kiba, inasemekana kwamba Hivi karibuni Familia yake inayoishi Kariakoo karibu na Club ya Soccer ya YANGA, e… Read More
  • ALICHOKIANDIKA KALA PINA facebook KUHUSU SENSA   KalApina Kikosi Cha Mizinga enyi waislam enyi mlio amini hakuna kuhesabiwa sensa mpaka hii serikali dhalimu na vibaraka wake kama bakwata mpaka serikali ikubali madai yetu kama kufungwa jela ama kukamat… Read More
  • R.I.P MAMA YETU MPENDWA BI HAWA NGULUME Tulikupenda  ila  mungu  kakupenda  zaidi     Pumzika  kwa  amni   Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngul… Read More
  • ZERO FT. MR. BLUE ZERO FT. MR. BLUE (NEW JOINT RELEASED) New talent kwa jina la Zero kutoka Mkoani morogoro. Ni masanii ambaye kwa kweli naweza sema ni wa pili kwa uwezo wa ki-RnB mkoani Morogoro ambaye anakuja kumuweka belle 9 kat… Read More
  • SHANGWE ZA FIESTA KANDA YA ZIWA                          Mkali  wa  top  20 toka  clouds   fm Deejay&nbs… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE