
sanduku lenye mwili wa Mangwea
Sura za huzuni na majonzi vilitawala leo mchana baada ya watanzania waliofika uwanja wa Mwal JK Nyerere kuona sanduku lililobeba mwili wa msanii maarufu Tanzania Albert Mangwea kuwasili uwanjani hapo ukitokea Afrika kusini alipofariki jumaa nne iliyopita






Tpp aliyewahi kuwa meneja wa Marehem Mangwea, aamini anachokiona

Rais wa Manzese Madee alikuwepo uwanjani





0 MAONI YAKO:
Post a Comment