July 15, 2016


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye baada ya kufanya ziara Ijumaa hii katika maeneo ya Kariakoo kukagua na kukamata CD ambazo hazina stika ya TRA, amewataka watanzania kuacha tabia ya kukunua CD ambazo hazina stika za TRA.

Akiongea na waandishi wa Habari katika msako huyo, Nape amesema yeyote anayekamatwa na CD ambao haina stika ya TRA atashtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi.
“Kila anayenunua sasa kazi ya sanaa ambayo haina stika ya TRA naye ni mwizi kwa kama mwizi yoyote sababu ameshirikiana na muuzaji ambaye hajalipa kodi, hata tukikukuta na CD moja haina stika wewe ni mwizi kama mwizi mwingine tutashughulika na wewe,” alisema Nape.
Katika ziara hiyo zaidia ya maduka 40 yamefungwa huku CD fake zikichukuliwa kwa ajili ya kuaribiwa.                

Related Posts:

  • Taarifa Rasmi ya CUF kuhusu mashauri yaliyopo Mahakamani (CUF–Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI Mbele ya Mheshimiwa Jaji Wilfred Ndyansobera leo Ijumaa Tarehe 18/8/2017 kulikuwa na shauri moja lililokuwa linaendelea kusikilizwa ikiwa ni muendelezo … Read More
  • Brand New Vide: Chovya - Dayna Nyange   Baada ya kukaa kimya kwa takliban mwaka mmoja bila kuachia wimbo, mwanamuziki Dayna Nyange ametuletea video ya wimbo wake mpya kabisa unaitwa Chovya. Katika Video hiyo Dayna Nyange pia ameonekana mdogo wa mwanamu… Read More
  • Odinga kuwasilisha kesi kupinga ushindi wa Kenyatta leo Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance leo unatarajiwa kuwasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti. Mawakili wa muungano huo wanataraji… Read More
  • Unamfahamu Unju bin Hunuk Kwa wale wapenzi na mashabiki wa mwana Hip Hop Niki Mbishi, jina la Unju bin Hunuk kwao halitakuwa geni kabisa kwani Niki hupenda sana kumtaja huyu bwana.Unju bin Unuq pia wengine humwita Unju bin Unuku ama Unzi Bin Ununuk… Read More
  • Brand New Video: Sal Houdini ft Rihanna- I Just   Mambo vp mpenzi wa ubalozini.blogspot. Tunakuletea wimbo mpya kabisa uliowakutanisha wanamuziki Rihanna na Sal Houdini wakikwambia I just. Video ya wimbo huo tumekuwekea hapa chini, fanya ku bofya play kwa ajili … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE