Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam Paul Makonda amefika katika ofisi za
Mwenyekiti wa Msimu Fiesta 2016, Sebastian Maganga kutoa baraka zake
katika kuelekea katika msimu huu mkubwa na wa Kipekee katika maisha na
burudani nchini Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa kwenye picha ya
pamoja na wafanyakazi wa @clouds_digital na Mtangazaji wa Clouds 360 ya
Clouds Tv, Kijah Yunus,Makonda alitembelea leo Mjengoni kutoa baraka
zake za Msimu Mpya wa Fiesta.
Paul Makonda kiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga mara baada ya mkuu wa mkoa huyo kutembelea ofisini kwake
Sebastian Maganga:
Shukrani za Dhati kwako @paulmakonda Mkuu wa Mkoa na Jiji la Daresalaam,
kwa miongozo yako kuhusu Fiesta 2016,Hakika tutaijumuisha katika
mipango yote Fiesta Mwaka Huu...Wadau Msimu Wenu Umewasili kwa kishindo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment