July 05, 2016

 
Waumini wa dini ya Kiislamu nchini siku ya kesho wataungana na waislamu wote duniani kusherehekea sikukuu ya Eid El ftli. Sherehe hizo zinakuja baada ya waislamu hao kumaliza siku 30 za mfungo wa Ramadhani lakini pia kuonekana kwa mwezi muandamo.


 Wakazi wa mji wa Morogoro mnaatifiwa kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika viwanja vya Hilux barabara iendayo Bigwa. Muda wa swala ni 07:30 am

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE