Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema yeye kama mwenyekiti wa Bunge atakaa
na UKAWA wamalize tofauti zao kwani haipendezi Spika unakaa mtu anatoka
nje. Sasa Amesemachi hii migogoro na utengano vimezidi, ni jukumu letu
kama viongozi kumaliza hii hali.
Amesema kama Spika hatavumilia vijembe na kejeli kuendelea Bungeni.
Je una maoni gani?
Amesema kama Spika hatavumilia vijembe na kejeli kuendelea Bungeni.
Je una maoni gani?
0 MAONI YAKO:
Post a Comment