August 13, 2016
8:47 AM
Machaku
No comments
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Jimbo la Bunda, Mkoani Mara Bi. Janeti Mayanja
amepokea madawati 90 yalitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bi. Ester Bulaya, ambapo hapo
awali madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo walikataa
kupokea madawati hayo baadaya ya kuwa yameandikwa jina la mbunge huyo
pamoja na kuwa yamenunuliwa na fedha za Mfuko wa Jimbo.
Related Posts:
Video: Diamond ndani ya XXL ya Clouds Fm, aizungumzia Perfume yake Tumekuletea Interview ya Diamond Platnum aliyoifanya ndani ya kipindi cha XXL cha Clouds Fm kubwa zaidi kaizungumzia Perfume yake iliyoingia sokoni hivi karibuni. fwatilia hapa interview nzima hapa &… Read More
Picha 10 kutoka kwenye mechi za Ndondo Cup leo April 26 Leo April 26 kama kawaida Ndondo Cup imeendelea kwenye viwanja mbalimbali. Matokeo nimekupatia kwenye story zilizopita. Hapa enjoy kuangalia picha kutoka kwenye Ndondo Cup leo. &… Read More
Live Match: Arsenal VS Leicester City Fwatilia hapa mpambano wa kukata na shoka wa ligi kuu Uingereza unaowakutanisha mabingwa wa ligi hiyo Leicester City dhidi ya Arsenal FC. Mpambano wa leo Arsenal wanawakaribisha Leicester &nbs… Read More
Chibu Perfume sasa inapatikana Marekani Diamond Platnum mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, ameonekana kuanza vema huku akiwa na uchu wa mafanikio katika bidhaa yake mpya aliyoiingiza sokoni wiki hii ya manukato. Kwa sasa Chibu Perfume … Read More
Alikiba kuhamia London Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba ambae anafanya vizuri kwa sasa kupitia wimbo wake wa Aje amepata nafasi ya kushiriki katika tamasha kubwa la mitindo huko london Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ali Kiba am… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment