August 13, 2016
8:45 AM
Machaku
No comments
Gazeti linalosomwa zaidi Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinazoongea Kifaransa la kila wiki la Le Canard enchaîné imemtaja rais Magufuli kama kiongozi ambaye Afrika ilimsubiri kumpata kwa zaidi ya miaka 50 ili iendelea.
Related Posts:
Man United yamlipia nauli Van Gaal kurudi kwao Manchester United ilimlipia nauli ya ndege ya kibinafsi iliomsafirisha mkufunzi aliyefutwa kazi Louis van Gaal hadi nyumbani kwake huko Ureno siku ya Jumatatu. Kupitia ombi lake,Man United ilikubali kuchelewesh… Read More
Mwili wa Kabwe Waagwa Dar, wasafirishwa Same Kilimanjaro kwa mazishi Baadhi ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. Familia ya aliyekuwa M… Read More
Nimeshaenda sana kwa waganga lakini sikuona mabadiliko yoyote – Galatone Msanii Galatone ameweka wazi kuwa alishawahi kwenda kwa wa Waganga wengi wa kienyeji ili afanikiwe kwenye sanaa ya muziki anayoifanya., Galatone amesema ilifika kipindi alichoka katika harakati za kuuhangaikia muz… Read More
Nyota wa filamu ya Pink Panther afariki Burt Kwouk ambaye alijulikana sana kwa kuigiza kama Inspekta Clouseas manservant Cato katika filamu za Pink Panther amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Alishiriki katika filamu kadhaa za Pink Panther mkabala na Pe… Read More
Mahusiano ya Wolper na Harmonize yambadili jinaDiamond Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (W… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment