Malkia wa muziki toka nchini Nigeria Mama Afrika Yemi Alade ametuletea video yake mpya kabisa inaitwa Want You. Video hiyo imeachiwa leo hii na ipo katika Account ya Yemi Alade ya Youtube
MAAJABU, JAMAA AFARIKI NA KUZIKWA NA SASA AMEJITOKEZA TENA
Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu…Read More
KIASI KINGINE CHA GESI CHAGUNDULIKA NCHINI
Ukitoa sehemu ambazo umekwisha zisikia kuwa
zimegundulika nishati ya Gesi unaambiwa Kampuni ya Statoil ya Norway na
mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi
katika Bahari ya Hindi.
Kwa mujibu…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment