Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kwamba , Mwanamuziki maarufu kwa utunzi wa nyimbo Tanzania, Maarufu Udeude ni kwamba amepigwa risasi na kufariki jijini Tanga. Katika tukio hilo Udeude alikuwa na rafiki yake Iquu ambaye naye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva. Chanzo cha tkio hilo bado hakijafahamika.
Marehemu wote wapumzike kwa amani
0 MAONI YAKO:
Post a Comment