Mkali wa Hip Hop Tanzania na nfiyo m,wenye mashabiki wengi kwa mziki huo nchini Farid Kubanda Fid Q, ametuletea video ya wimbo wake mpya alioimba na Christian Bella, wimbo unaitwa Roho
Picha za iPhone 7 zilizovuja kabla haijazinduliwa.
Tovuti ya Amazon.com
yachapisha picha za simu mpya ya Apple inayotarajiwa kuzinduliwa leo,
iPhone 7 ikiwa ni saa chache kabla ya kampuni hiyo haijazindua simu hiyo
inayosubiriwa kwa shauku kuwa. Picha hizo ni pamoja …Read More
Orodha yua Matajiri 4 zaidi Tanzania
Uchumi
mkubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unategemea zaidi kilimo kwa
takriban asilimia 25 ya GDP na asilimia 85 Exports. Aidha, Tanzania ina
madini kama dhahabu, almasi, makaa yam awe, uraniamu, chuma, shaba,
T…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment