Kuanzia saa 6:00 usiku wa
31.08.2015, mnapo chati katika magroup, mambo yafuatayo yatakuwa
yanakuweka matatani kwa kuvunja sheria ya makosa jinai ktk mtandao
(Cyber crimes Act)
1. Kupost picha za kingono za watoto au child pornography
2. Kupost picha za ngono au za utupu (Pornography)
3. Kupost taarifa na kujifanya wewe ni mtu fulani wakati sio au kwa maneno mengine impersonation
4. Kupost taarifa au data katika mfumo wa picha ambazo ni uongo, sio sahihi na zinapotosha umma
4. Kupost au kusambaza ujumbe wa kibaguzi
5. Kumtukana au kumdhalilisha mtu mwingine kwa misingi ya ukabila, jinsia ,rangi, dini yake au utaifa wake
6. Kupost picha au chapisho linalohamasisha vitendo vya kigaidi
7. Kupost taarifa ya uchochezi kwa mtu au kikundi cha watu
8. Kutoa matamshi ya kashfa kwa mtu au kikundi cha watu, Taasisi n.k
9. Kupost Breaking News ambazo hazijawa verified au kutoka chanzo kinachoaminika
10. Kupost tetesi
Chukua tahadhari kuwa endapo utafanya moja ya mambo hayo hapo juu basi unajiweka ktk nafasi ya vyombo vya Dola kukuchukulia hatua kwa mujibu wa CYBER CRIMES ACT 2015 na sheria nyingine za nchi. WATCH OUT.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment