September 28, 2016

adele_two
 Album ya Adele, 25 imeuza nakala milioni 10 nchini Marekani na kumfanya kuwa mwanamuziki wa Uingereza aliyeuza zaidi katika karne hii.
Kufuatia album hiyo iliyotoka November mwaka jana kupata hadhi ya ‘diamond platinum’ yaani kuuza nakala milioni 10, msanii huyo alipewa ngao katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, ambako ametumbuiza show sita zilizojaa.
Pia album yake ya mwaka 2011, hadi sasa imeuza nakala milioni 14 Marekani pekee.


Related Posts:

  • Viboko washambulia wavuvi    Mtu mmoja amefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya kuvamiwa na wanyama aina ya kiboko wilayani Butiama. WAKAZI wa kijiji cha Chimati wilayani Butiama mkoani Mara wamekubwa na hofu kubwa baada kuibuka… Read More
  • CUF- Waandamana leo. Prof Lipumba akamatwa na polisi  Leo January 27 2015 Chama cha wananchi Cuf- kimefanya maandamano ya kumbukumbu ya mauaji ya 2011 Visiwani Zanziba. Lakini katika maadhimisho hayo yameingia dosari baada ya viongozi wa ngazi za juu wa Cuf kukatwa na p… Read More
  • Hoteli yashambuliwa Tripoli    Watu wenye silaha wameshambulia hoteli moja maarufu kufikiwa na wageni kutoka nje katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, na kuua walinzi watatu na watu wengine 12 kujeruhiwa. Watu kadha wenye silaha walivamia h… Read More
  • Juma Kaseja kusomewa mashtaka Februeary 12    Baada ya Uongozi wa Klabu ya Yanga kutangaza kuachana na aliekuwa mlindamlango wake Juma Kaseja na baadae kumfungulia mashtaka katika Mahakama ya kazi , hatimaye mlind amlango huyo sasa anatarajia kusomewa … Read More
  • Hakuna wa kutembelea nyota yangu -Ray C    Mwanamuziki Ray C ambae alitamba miaka ya nyuma na ngoma kali kibao ikiwemo Na wewe milele,Sogea sogea na nyingine nyingi amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hakuna mtu atakae weza kutembelea nyota yake katik… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE