September 05, 2016

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akimkaribisha nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa CUF Maalim seif Shariff Hamad jioni ya leo, ambako wana mazungumzo juu ya hali ya siasa visiwani Zanzibar.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE